Wednesday, July 13, 2016

MACHOZI lyrics by Bahati

Ooh Bahati Bahati tena

Maachozi machozi ii, machozi mamaye Machozi skiza papaye

Vidonda vichungu na fikra ona vile niliumia
Machozi machungu nafuta mbona hakuna vile ningeficha ×2

Maisha yangu ya uswazi kasoro mali Wapi wangu waniokoe, nampoteza mzazi uchungu wa mwana
Mbona mola uniondoe ×2

Nilikosa hata moyo kuchonga moyoni, niliumia sana
Maskini kusema hawachoki kuchonga nililia msee iaa

 
  (CHORUS)
Nilijawa machozi, mbona mimi
Maswali kwa mola, mbona mimi
Nilijawa machozi, mbona mimi
Mbona dunia uchungu, mbona mimi ×2
oooi oooi oooi oooi oooi oooi oooi ooooh

Nafanya napata gharama, kuwa inakera Bidii nikaweka nikaangua pa tupu,
Mziki ilifanya sana napata gharama, kuwa inakera
Bidii nikaweka nikaangua pa tupu, niliota kupenya

Ilikuwa uchungu madungu zangu, Nilijawa naumia aai
ilikuwa machozi sina hata pozi, ila tumbo inalia aai ×2

  (CHORUS)
Nilijawa machozi, mbona mimi
Maswali kuwa mola, mbona mimi Nilijawa machozi, mbona mimi
Mbona dunia uchungu, mbona mimi ×2

oooi oooi oooi oooi oooi oooi oooi oooi

Ulofa nayo ukaniweka chini, niende wapi mwenzio
Niliangaika kuishi mjini, mashambani hivo hivo ×2

Ukawamu kunionyesha mapenzi, hapo siku ya kwanza
Maulana kwangu ukakuwa mpenzi, ndio ukaniacha ×2

Nilikosa hata moyoni, niliumia sana Maskini kusema hawachoki kuchonga, nililia msee aai

  (CHORUS)
Nilijawa machozi, mbona
Maswali kwa mola, mbona
Nilijawa machozi, mbona mimi
Mbona dunia uchunga, mbona mimi mbona mimi, mbona mimi

Si amini ni mimi leo,
Maulana hayali mbivu oooh
Si amini ni mimi leo, Rabuka hafungi sikio ×2

No comments:

Post a Comment