Wednesday, July 13, 2016

I WILL FOLLOW YOU lyrics by Gloria Muliro

Unaponipeleka
mie si lazima nijue Unachoniwazia mie si lazima
nijue Njia zako hakika Mambo yako sambamba
Mipango yako sawa,sawa Njia zako hakika Mambo
yako sambamba Mipango yako sa.a..

  (CHORUS)
where you go,al go,where you stay al stay,where you move al move al

hakuna dhiki kwako,hakuna chuki kwako,wala unafiki kwako,baba
kwako,ni marafiki kwako,kuna amani kwako,baba kwako,hakuna vita
kwako,hakuna magonjwa kwako,wala talaka kwako,baba kwako
kuna upendo tele kwako,furaha kwako,umoja kwako,baba kwako

  (CHORUS)
where you go,al go,where you stay al stay,where you move al move al
move,i will follow you

 

No comments:

Post a Comment