Saturday, July 9, 2016

FANYA lyrics by Willy Paul

Mabinti walinichanganya, Nairobi mpaka Mombasa
Kayole mpaka Dandoraa, Mathare mpaka Huruma
Ni ghetto mpaka Tribeka, ni kweli mimi Willy
Nlikuwa mziriree, walinitesa mabintiree
Hivi leo nimerudiree eeh, kwa mwenyeziree anisamehe,

  (CHORUS)
Mi jalali nimekumisi sana, kukupenda ndio nataka kufanya

Fa fa, fa fanya (fanya)
Fa fa, fa fanya (fanya) ×2

Si mnafahami yule Daudi, alitenda madhambiree
Lakini mungu amekupenda tuu, tunajua huyu Daudi eeh
Leo leo narudi kwa baba, leo leo narudi kwa baba
Ni kweli mimi Willy, nilikuwa mziriree, walinitesa mabintiree
Hivi leo nimerudiree eeh, kwa mwenyeziree anisamehe

  (CHORUS)

Mmh kamata chini nanana, juu kwa juu nanana
Siku za mwisho zimewadia, wangapi watarudi na mimi
Twene kwake baba ooh hallelujah, ooh hallelujah

No comments:

Post a Comment