Thursday, April 21, 2016

TAKE IT SLOW lyrics by Willy Paul ft Sauti Sol


I'm sorry, naomba msamaha kwa mwenyezi
I'm sorry

Baby, najua kweli unataka, hata nami at some point huanga nataka.
But niko na Baba ndani ya maishaaaaa.... Saa inabidii niombe nipate self control
Kesho tusipatane na ma birth control
I feel it in my heart I feel it in my soul
Tukiweka mungu mbele ata take control,
Isiwe story..
Hii mambo ni ngori.. Maisha si movie..
Usijekesho ukasema WHAT!!!

  (CHORUS)
You better take, take, take, take, take it slow (take it slow)
You better take, take, take, take, take it slow
Maisha si rehearsal, ukiandika huwezi cancel
You better take, take, take, take, take it slow

Pole, pole, pole, pole mbio sakafuni mwisho ni ukingoni
Vijana na madem utawatafuta lini, mama analia uuwuuu...
Sa nikama tumekwama, kimoja maisha sa ni instagram
Tukibishana na swagger, mali yakuwazima ikiwaka
Na sa hiyo ndio story, hivo hivo ni ngori
Malaika wa mbiguni uje, ujee.....

  (CHORUS)

Take it slow, pole pole
You better take it slow
You better take it slow
Take it slow

  (CHORUS)

Tuesday, April 19, 2016

TENDA WEMA lyrics by Ringtone ft Christine Shusho

 
(CHORUS)
Tenda wema nenda zako
Usisahau Mungu anaona

Siku ya kukumbukwa itafika

Yeye, yeye, yeye atakulinda
Tenda wema nenda zako
Usisahau Mungu anaona
Siku ya kukumbukwa itafika...

  Ringtone
Mayatima umesomesha sana, kwenye shida umesaidia wote
Wenye njaa umewapa chakula, nguo zako umepeana zote
Hakuna anayetambua haya ambayo umetenda kwote
Sasa naona inakupa worry, nakuomba wee usijali
Aliyekuita anaona yote, atabariki ona siku zote

  (CHORUS)

  Christine
Aliwaponya wagonjwa wao ni yesu huyo
Akafufua wafu wao ni yesu huyo
Mwisho akamwita pepo huyo oooh
Wewe si wa kwanza na hautakuwa wa mwisho
Yesu katukanwa sembuse mwanadamu
Tenda wema nenda zako weee
Usigonje shukurani wee
Tenda wema nenda zako weee
Usigonje shukurani wee

  (CHORUS)

  Ringtone
Utawasomesha wajue kizungu, wakutusi
Utawalisha washibe wakupige
Wewe tenda mema, wewe tenda mema tu
Wewe tenda mema, wewe tenda mema tu

  (CHORUS)

TULIA lyrics by Benachi

Amesema utulie, amesema utulie
Amesema utulie

Mwezangu ninakuona, umekazana sana
Kila kunapokucha, mawazo yamekubana
Maneno umenena, kwenye sala aaah
Umekesha kuomba, fungu la kumi umetoa
Pia kufunga lakini bado
Umekesha kuomba, usichoke kuomba
Mkono wake si mfupi utakufikia

  (CHORUS)
Tulia, hajawai chelewa wakati wake mwema
Tulia, usife moyo kilio amekiskia
Tulia, usichoke kuomba, piga moyo konde
Tulia, imani juu, imani juu, imani kwake
Tulia, imani juu, imani juu, imani kwake

Tazama juu, msaada wako watoka juu
Kutoka chini mola atakuweka juu
Na ushawai jiuliza mbona hausongi juu
Ni kwa sababu muda wako utafika tu
Vumilia tu muda wako utafika tu
Na ukiwadia hakuna ambaye atazuia
Ukitimia aaah aaah, hatazuia

  (CHORUS)

Tazama juu msaada wako watoka juu
Kutoka chini mola atakuweka juu
Na ushawai ooh....

  (CHORUS)

Tuesday, April 12, 2016

TAM TAM lyrics by Willy Paul ft size 8

Oooh nalemba aliye Mungu wa hawa
Aliye Mungy wa Dj Mo
Dj Mo umempa ni wake number nane size 8
Crowbar ukampa ni wake na na Joy
Gloria Muliro ukampa ni wake eeh pastor Omba
Soxxy ukampa ni wake akamficha eeh
Dj Moz ukampa eeh mzungu aeeh
Na me nashindwa wangu Willy ni nani
Ama mbukusu, mbukusu aaah
Sijui kama yellow ama brown skin, number nane nieleze kweli nimeshindwa

  (CHORUS)
Unataka mke mwema aaah
Ni nani atanipa
Oooh unataka mke mwemaa... ooh ni mungu atakupa
Nafahamu mapenzi kitamtam tam tena saana (tamu tena sana)
Hakuna fahamu mapenzi kitamu
Kitamuu...  aaah, kitamu sio utani aaah
Kitamuu... aaah, kitamu sio utani aah
Tamtam tamtam, tamtam tamtam
Tamtam tamtam, tamtam tamtam

Size 8
Juzi likuona na kabintiye, hakunipendeza
Vazi lake no! Noo Willy no!!
Nieleze siri ya mapenzi dada
Nieleze siri ya mapenzi number nane
Ooh Willy wewe Willy, usitafte wawili
Muombe mwenyezi, usijitie kitanzi
Ooh ukisahau mwenyezi, itajipiga mateke eeeeh utajipiga mateke

  (CHORUS)

Kweli nimekubali Jehovah ndiye wakupeana mke mwema aaah
Emmy naye mnaija
Uhuru naye Magy Magy
Raila naye Ida Ida
Kalonzo musyoka hatujui
Bishop kiuna Cathy
Pastor Lai mwita
Na mimi naye wangu ni nani..

  (CHORUS)

WONDER lyrics by Papa Dennis ft Korede Bello

Alipanga ulinzi toka utotoni, bado nikiwa mgogoni
Pale mashambani, bila tumani
Mama yangu kateseka, ndio nipate malezi
Vibarua akafanya, nipate chakula mezani
Nikiwa shule ya msingi mama yangu kafariki
Nikaanza kutafuta hapa na pale, hapa na pale
Nikaanza kuzunguka hapa na pale, hapa na pale
Mola akanisaidia, nikapata msaidizi

  (CHORUS)
Wonder wonder aaah, bado blessings zinacome
Wonder wonder aaah, bado blessings zinacome
Ooh na na na naa aah, bado blessings zinacome
Ooh na na na naa aah, bado blessings zinacome
Purukutu bado blessings zinacome
Purukutu bado blessings zinacome

  KOREDE BELLO
Me I remember, yes I remember was sometime time ago
My people remember ooh, yes they remember not along time ago
Everywhere I go talk to God, pray to God
Coz nah give me a chance no no no
Now we make aaah, we make a super star
Now we are all over Africa
Am not a footballer but this prayer can fit your blessings
Wonder wonder naimba tu

  (CHORUS)

Sasa maisha imebadilika, na si uongo
Nilikuwa nakosa chakula, sasa napeana
Nilikuwa nikichekwa na watu, eti mtoto wa fukara
Mavazi ilikuwa shida ona sasa ma desaina
Sikuwa na nauli nilitembea sana, ona sasa napanda ndege nazunguka dunia
Bwana wa majeshi nimekubali
Wewe mume wa wajane
Tena baba ya mayatima
Kila kitu maishani mwangu yote, mimi yesu tunaita wonder
Baraka zangu zote unanitendea naita wonder ×2

Everything is wonder
God blessings is wonder
Everything is wonder
Kila kitu ni wonder

Kupata baraka ni wonder
Kila kitu ni wonder
Ata magari ni wonder
Ata kazi ni wonder
Kila kitu ni wonder

Friday, April 1, 2016

VUMILIA lyrics by BossM.O.G and size 8

Kwa macho nikikuona, kwa nje wapendeza
Umejipodoa ma make-up,you look so fine
Unakaa waumia, moyoni wateseka aaah
Amenicheza kwa ndoa, na sasa nishagundua
Naskia kujiuwaaa (usijiuweee)

  (CHORUS)
Vumilia mama
Zidi kumuombea atabadilika
Unajua mungu hapendi utengano
Mapenzi safari
Naenda naenda sitaki balaa
Mimi naenda naenda sitaki noma naye

Usiache wako wana wanakuhitaji no no
Na watoto wataniuliza vipi mammy katoroka
Kama ningemnyima penzi, angeniita mchoyo
Nimempa wangu moyo, atavuna kibogoyo

  (CHORUS)

Unajua mama bwana kwa kukufanya usijihisi wa dhamana na kukutesa sana
Kidonda wa mapenzi mwenye dawa ni moyo
So inabidi uvumilivu uwe dawa yako
Usiwe wa kasi kuondoka mama,
Usiwe mwepesi wa hasira mama, hasira ni hasara

  (CHORUS)

Mungu akikutazama ni nini atajivunia aah
Ukifanya utengano ambalo analichukia, narudi narudi sitavunja ndoa
Sawa narudi narudi nitamwomba mola
Usiende rudi nyumbani mamaa