Friday, April 1, 2016

VUMILIA lyrics by BossM.O.G and size 8

Kwa macho nikikuona, kwa nje wapendeza
Umejipodoa ma make-up,you look so fine
Unakaa waumia, moyoni wateseka aaah
Amenicheza kwa ndoa, na sasa nishagundua
Naskia kujiuwaaa (usijiuweee)

  (CHORUS)
Vumilia mama
Zidi kumuombea atabadilika
Unajua mungu hapendi utengano
Mapenzi safari
Naenda naenda sitaki balaa
Mimi naenda naenda sitaki noma naye

Usiache wako wana wanakuhitaji no no
Na watoto wataniuliza vipi mammy katoroka
Kama ningemnyima penzi, angeniita mchoyo
Nimempa wangu moyo, atavuna kibogoyo

  (CHORUS)

Unajua mama bwana kwa kukufanya usijihisi wa dhamana na kukutesa sana
Kidonda wa mapenzi mwenye dawa ni moyo
So inabidi uvumilivu uwe dawa yako
Usiwe wa kasi kuondoka mama,
Usiwe mwepesi wa hasira mama, hasira ni hasara

  (CHORUS)

Mungu akikutazama ni nini atajivunia aah
Ukifanya utengano ambalo analichukia, narudi narudi sitavunja ndoa
Sawa narudi narudi nitamwomba mola
Usiende rudi nyumbani mamaa

No comments:

Post a Comment