Friday, May 27, 2016

NI YESU lyrics by Size 8


  (CHORUS)
Ni Yesu, kweli ni Yesu
Ni Yesu, kweli ni Yesu... ×2
Hallelujah is worthy of all our praise
Hallelujah is worthy of all our praise ×2
Celebrate, come on celebrate, Jesus
Celebrate, come on celebrate is worthy our praise.....
Is worthy our praise..... is worthy our praise

Ametenda, ametenda mema
Ameshinda, ameshinda vita
Bendera yake yapepea eeeh
Kwani kifo ameshinda eeeh
Bendera yake yapepea eeeh
Kwani kifo ameshinda eeeh

  (CHORUS)

Makofi kama ameweza (ametenda mema)
Ameweza eeeh
Makofi kama ameweza (ameshinda vita)
Bendera yake yapepea eeeh
Kwani kifo ameshinda eeeh
Bendera yake yapepea eeeh
Kwani kifo ameshinda eeeh

  (CHORUS)

Cheza...... ametenda mema
Ruka....... ameshinda vita
Vigelegele kwa yesu
Vigelegele kwa yesu

  (CHORUS)

AMENITOA FAR lyrics by Weezdom

  (CHORUS)
Amenitoa far ndio maana nasema
Aeeyah eayah
Amekutoa far niskie ukisema
Aeeyah eayah ×2

Mbali sana ka watoto na toy
Mbali kama KANU na Moi
Mbali sana ka Odinga na Mwai
Mbali kama leso na Maasai
Ni mbali ka mombasa na voi
Very far tena chopper sitoboi
Mbali tena kama ketepa na chai
Cotu na Atwoli, Eugine na Kaguta
Ni mbali kama Kagame na Kigali
Mbali tena kama Bifwoli na Wakoli
Mbali ka asali na sukari
Pamoja kama referee na saa

  (CHORUS)

Mbali siku za msoto za kunywa chai na ugali
Kutembea kaguu nikienda kila mahali
Kupotea kwa njia bado akanishikilia
Tumekuwa pamoja ka Mariga na mpira
Amenitoa mbali ka bongo na masera
Nikiteleza nlidhani nimefeli, kumbe tu shetani ndio alikuwa ananikejeli
Shida nyingi shida zangu za dunia
Shida zikaondolewa bila mi kichangia
Amenitoa far ka mwimbaji na kipaji
Ka kibaki na Lucy

  (CHORUS)

Amekuwa mlinzi G.O.S God Of Surveillance
Kila siku amekuwa mwaminifu
Kila siku nitakuwa namsifu, Mtukufu