Friday, May 27, 2016

AMENITOA FAR lyrics by Weezdom

  (CHORUS)
Amenitoa far ndio maana nasema
Aeeyah eayah
Amekutoa far niskie ukisema
Aeeyah eayah ×2

Mbali sana ka watoto na toy
Mbali kama KANU na Moi
Mbali sana ka Odinga na Mwai
Mbali kama leso na Maasai
Ni mbali ka mombasa na voi
Very far tena chopper sitoboi
Mbali tena kama ketepa na chai
Cotu na Atwoli, Eugine na Kaguta
Ni mbali kama Kagame na Kigali
Mbali tena kama Bifwoli na Wakoli
Mbali ka asali na sukari
Pamoja kama referee na saa

  (CHORUS)

Mbali siku za msoto za kunywa chai na ugali
Kutembea kaguu nikienda kila mahali
Kupotea kwa njia bado akanishikilia
Tumekuwa pamoja ka Mariga na mpira
Amenitoa mbali ka bongo na masera
Nikiteleza nlidhani nimefeli, kumbe tu shetani ndio alikuwa ananikejeli
Shida nyingi shida zangu za dunia
Shida zikaondolewa bila mi kichangia
Amenitoa far ka mwimbaji na kipaji
Ka kibaki na Lucy

  (CHORUS)

Amekuwa mlinzi G.O.S God Of Surveillance
Kila siku amekuwa mwaminifu
Kila siku nitakuwa namsifu, Mtukufu

No comments:

Post a Comment