Tuesday, April 12, 2016

WONDER lyrics by Papa Dennis ft Korede Bello

Alipanga ulinzi toka utotoni, bado nikiwa mgogoni
Pale mashambani, bila tumani
Mama yangu kateseka, ndio nipate malezi
Vibarua akafanya, nipate chakula mezani
Nikiwa shule ya msingi mama yangu kafariki
Nikaanza kutafuta hapa na pale, hapa na pale
Nikaanza kuzunguka hapa na pale, hapa na pale
Mola akanisaidia, nikapata msaidizi

  (CHORUS)
Wonder wonder aaah, bado blessings zinacome
Wonder wonder aaah, bado blessings zinacome
Ooh na na na naa aah, bado blessings zinacome
Ooh na na na naa aah, bado blessings zinacome
Purukutu bado blessings zinacome
Purukutu bado blessings zinacome

  KOREDE BELLO
Me I remember, yes I remember was sometime time ago
My people remember ooh, yes they remember not along time ago
Everywhere I go talk to God, pray to God
Coz nah give me a chance no no no
Now we make aaah, we make a super star
Now we are all over Africa
Am not a footballer but this prayer can fit your blessings
Wonder wonder naimba tu

  (CHORUS)

Sasa maisha imebadilika, na si uongo
Nilikuwa nakosa chakula, sasa napeana
Nilikuwa nikichekwa na watu, eti mtoto wa fukara
Mavazi ilikuwa shida ona sasa ma desaina
Sikuwa na nauli nilitembea sana, ona sasa napanda ndege nazunguka dunia
Bwana wa majeshi nimekubali
Wewe mume wa wajane
Tena baba ya mayatima
Kila kitu maishani mwangu yote, mimi yesu tunaita wonder
Baraka zangu zote unanitendea naita wonder ×2

Everything is wonder
God blessings is wonder
Everything is wonder
Kila kitu ni wonder

Kupata baraka ni wonder
Kila kitu ni wonder
Ata magari ni wonder
Ata kazi ni wonder
Kila kitu ni wonder

No comments:

Post a Comment