Sunday, July 17, 2016

PSALM 23 lyrics by Eko Dydda

VERSE 1 LYRICS:
As i walk through the valley of the shadow of death
i fear no evil
ata kama nilihata shule Pre-Unit
pesa zinanifwata hapa kule P-Unit
Yesu ndio amani, His' the peace you need
hizo zingine ni kipara, si the peace you need
Alidunga pupil in my eyes
Akadunga kuku hii mayai
Alpha na Omega We ndio real Winner
sing'ang'ani na We, let Your will be done

CHORUS LYRICS:
On earth as it is in heaven
naskiza nani ka siskizi Wewe
thank You Jesus
nikikosa post, You are my refugee camp

VERSE 2 LYRICS:
Mimi na Jesus sitadunga frakaz
nitatembea juu ya water
baba shark atanidunga gota
namaanisha mimi nikisema ota
sitaomba mtu ruhusa men
ndio nisifu mwenye Alipitia Jerusalem
Atatushow You can use my name
sema Jesus, mapepo sitalose again
collabo ya shida na scare crow
haziwezi kuniscare bro
kaulidhani that I still gwaya
vuta hiyo tot na steal wire

CHORUS LYRICS:
As i walk through the valley of the shadow of death
i fear no evil, I fear no people
ladies and gentlemen...

VERSE 3 LYRICS:
Najaribu chini ya maji kama papa shark
hazitaniuma, aa zitanipapasa
zikipiga magoti zinaniita Papa San
ju mi ni mtoto wa daddy, mi ni Papa son
sina napi, Amenidunga pampers ya protection
tangu enzi za garbbage collection
poverty ikinichapa ni kama restle
Eko nitasifu God si siri
tangu enzi za chuo boyz si siri
ju nilisota Akaniturn 360
Mpesa ikaanza kuflow, eazily
siku hizi story za mala..., si sisi
nikiimba tell my son, keep it real
soma John 3,16
I believe God nitamwona one day
everything will be alright, okay
I believe God nitamwona one day
everything will be alright, okay

CHORUS LYRICS:
As i walk through the valley of the shadow of death
i fear no evil, I fear no people
ladies and gentlemen...

No comments:

Post a Comment