Wednesday, July 6, 2016

BWANA WA MABWANA lyrics by Princess Farida

Nilidhani Nilifika Nilidhani Nitapaa Juu
Nakukuona Jinsi Nilivyokuwa
Nilidhani wewe Hukujali Nilidhani Hukupendezwa Na Maisha Yangu
Kabla Uje Ukanifungua Macho Minikaona Naishi Kakitambo
Naomba

  (CHORUS)
Ewe Bwana Wa Mabwana
Niko Mguuni Pako Unisikie
Ewe Bwana Wa Mabwana
Nionyeshe Njia Zako Nisianguke  (Nisiabike )

Nikiteleza Naomba Usiniache
Ukiniacha Kweli Nimeachwa Milele
Kinyagani Mwako Baba Unitunze
Ukinitunza Kweli Nimetunzwa Milele

Ulinitoa Mashakani Ukanipeleka Maishani
Nitakusifu Wewe Milele Na Milele x2

  (CHORUS)

Kweli unafaa Maishani Mwangu Wewe Unafaa
Kila Kitu Maishani Mwangu Ninajua Ni Baraka Toka Kwako x2

Ewe Bwana Wa Mabwana
Niko Mguuni Pako Unisikie
Ewe Bwana Wa Mabwana
Nionyeshe Njia Zako Nisianguke  (Nisiabike )

Ewe Bwana Wa Mabwana
Ewe Bwana Wa Mabwana, Nionyeshe Njia Zako Nisianguke

Nisiaibike

No comments:

Post a Comment