Tuesday, July 12, 2016

MANENO lyrics by Betty Bayo


  (CHORUS)
maneno
ya kinywa changu
wacha yatawaliwe
na wewe Bwana

maneno
ya kinywa changu
wacha yatawaliwe
na wewe Bwana

ninaponena
juu ya maisha yangu
ninene ya baraka
si kulaani
nimebarikiwa
imeinuliwa
maanakunayo nguvu
katika maneno
ingawaje
hali nilioko
ni ya kuhuzunisha
na kuhangaisha
nitabiri mema
tena mazuri
maana kunayo nguvu
katika maneno

  (CHORUS)
maneno
ya kinywa changu
wacha yatawaliwe
na wewe Bwana

maneno
ya kinywa changu
wacha yatawaliwe
na wewe Bwana


kazi
ya mikono yangu
wacha ibarikiwe
na wewe Bwana
niamkapo
na nilalapo 
wacha nilindwe
na wewe Bwana 

  (CHORUS)
maneno
ya kinywa changu
wacha yatawaliwe
na wewe Bwana

maneno
ya kinywa changu
wacha yatawaliwe
na wewe Bwana


Bwana naomba
yote nisemayo
uwe umenipa ka
yawe baraka
uimbaji wangu
tawaliwe nawe
ninene yote
yawe baraka

  (CHORUS)
maneno
ya kinywa changu
wacha yatawaliwe
na wewe Bwana

maneno
ya kinywa changu
wacha yatawaliwe
na wewe Bwana

maneno
ya kinywa changu
wacha yatawaliwe
na wewe Bwana

maneno
ya kinywa changu
wacha yatawaliwe
na wewe Bwana

1 comment: