Friday, January 8, 2016

WANIFANYA NING'ARE lyrics by Christine Shusho

   Aah damu ya yesu imenifanya ning'are

  (CHORUS)
Umenifanya ning'are ×2 yesuu
Umenifanya ning'are  ×2 yesuu

Wewe waitwa nuru, eti nuru ya watu
Ukiingia kwangu mi nang'araa
Ndani ya hiyo nuru... eti kuna uzima
Ukiingia kwangu nina uzimaa...
Uso wake yesu, aliyesura yake mungu
Umeingia kwangu, mi nang'araa
Nuru wa injili, utukufu wake christo
Umeingia kwangu mi nang'araa

  (CHORUS)

Inuka uangazee, nuru yako imekuja
Utukufu wa bwana umekuzukia wee
Mataifa watakujia, wafalme watakuja
Utukufu wa bwana umekuzukia wee ×2

  (CHORUS)

2 comments:

  1. Barikiwa sana ulie andika huu wimbo am blessed by this song every tym I listen to it

    ReplyDelete