Thursday, January 21, 2016

NIKUFAHAMU lyrics by Evelyn Wanjiru

  (CHORUS)
Nikufahamu zaidi bwaaana, nikujue zaidi yesu
Nikufahamu zaidi Yahweh, nikuishie milele bwanaa ×2

Nataka nitembee na wewe wakati wote
Nitembee kwa nuru yako baba eeh
Nishirikiane na  wewe eeh kwa kila jambo ongoza hatua zangu, ewe baba,ongoza hatua zangu ewe baba

  (CHORUS)

Wewe ni mume wa wajane, baba wa yatima mfariji wa waliofiwa
Mtetezi wa wanyonge, unaponya waliovunjwa mioyo
Nakuzinganda jeraha zao baba eeh
Hawa wote tengemeo lao ni wewe baba
Ndiposa wanasema

  (CHORUS)

No comments:

Post a Comment