Monday, January 11, 2016

VIP lyrics by Mr Vee

Shalalala shalalala oh nanananana
Shalalala shalalala oh nanananana
Mungu kachukua muda, taratibu kaniumba hivo
Kwa hivo mimi ni wa maaana, asije mtu akapinga eeeh
Believe me A'mma VIP aaaaaahhhh
Believe me A'mma VIP eeeeeh

  (CHORUS)
Sisi ni waamaana, wooiiooo waamaana
Waamaana woooiiiooo waamaana
Sisi ni waamaana
Sisi ni waamaana VIP

Hata kama mapato yangu ni madogo yoyoo
Madharau haifai hata kidogo yoyooo
Heshima kwa wote wakubwa na wadogo yoyoo
Kwa wote wote maskini pia masonko
Eeeh VIP, sisi wote ni waamaana sana
VIP sisi wote ni waamaana sana
Kila mmoja ana kazi ya kufanya (fanya)
Kulingana na mpango wake mola (mola )
Wanakuona mnyonge mbona, let them know...

  (CHORUS)

Na imagini ni mpango wa mungu mimi na wewe tuwepo
Na imagini akiiumba ulimwengu mawazoni tulikuwepo
Huyo anaona hatufai ni mwongo yoyooo
Huyo...  anaona hatufai ni mwongo yoyoo
Aaaah ni mwongo yoyooo, aaaah

  (CHORUS)

3 comments: