Wednesday, January 13, 2016

BARUA lyrics by Bahati


Bahati tena eeh!
Furahi yote Baba naitoa moyoni,
Na nifurahi yote kwako husikie hewani.
(ooohmmmmmm!)

Ni barua ngapi nimeandika kwa njia mziki.
Na nyimbo ngapi nimeandika zisizo za riziki.
(repeat 2 times)

( chorus! )
Nikikuita mpenzi, mpenzi, mpenzi,
Nikikuita daddiii…
(repeat 2 times)

Nikufunga nikafunga ila siri sitaki wajue,
samahani nikaomba magoti nisikuzungue.

( Chorus! )

Nikikuita mpenzi, mpenzi, mpenzi,
nikikuita dadiii…
( repeat 2 times)
( oooh! )

Barua yangu ya mapenzi nimeona niimbe.
Barua yangu ya mapenzi nimeona niandike.
( repeat 2 times )

( chorus! )
Nikikuita mpenzi, mpenzi, mpenzi,
nikikuita daddiii…
( repeat 2 times )

Oooh! Kama mapenzi, msalabani ulifanya zaidi.
Naaa! Kama kipaji, kwa burudani umekuwa nami.
( repeat 2 times )
( Baba eeeh! )

kuna wengi mjini wanadai mapenzi, kumbe walaghai.
Wana— badili kama kinyonga, kamwe hawafai.

( Chorus! )
Nikikuita mpenzi, mpenzi, mpenzi,
nikikuita daddiii…
( repeat 2 times )
( ooh! )

Barua yangu ya mapenzi nimeona niiembe.
Barua yangu ya mapenzi nimeona niandike…
( repeat 2 times )

( chorus )
Nikikuita mpenzi , mpenzi, mpenzi,
nikikuita daddiii…
( repeat 2 times )

(CHORUS)

Nikikuita mpenzi, mpenzi, mpenzi,
nikikuita dadiii…
( repeat 2 times )

(CHORUS)

Nikikuita mpenzi, mpenzi, mpenzi,
nikikuita daddii…
( repeat 4 times )
( oooh! ).


No comments:

Post a Comment