Monday, January 25, 2016

USHIRIKA NA ROHO lyrics by Christina shusho

  (CHORUS)
Mimi nataka ushirika na wee ewe roho
Mimi nataka ushirika na wee roho ×5

Nimekubali habari hizi, ya kuwa wewe ni muungu roho nataka ushirika na wee
Ulikuwepo tokea mwanzo, ulishiriki kuniumba roho eeh roho wee nataka ushirika na wee
Nakuhutaji maishani, unihifadhi moyo wangu roho eeh roho wee nataka ushirika na wee

  (CHORUS)

Wayachukua maombi yetu,watuombea kwa kuwa roho eeh roho wee nataka ushirika na wee
Ukiwa nasi, twatiwa nguvu twatenda kazi kwa ujasiri roho eeh roho wee nataka ushirika na wee
Uyatawale maisha yangu, sitaogopa ukiwa nami roho eeh roho wee nataka ushirika na wee

  (CHORUS)

Wewe mungu uliye hai, tena roho wa kweli, wewe kiongozi nataka ushirika na wee
Wewe mafuta ya shangwee, tena arabu ni yetu roho wa milele nataka ushirika na wee
Wewe roho msaidizi, tena mshauri wetu wewe kidole cha mungu nataka ushirika na wee

  (CHORUS)

No comments:

Post a Comment