Monday, January 25, 2016

BWANA UMENICHUNGUZA lyrics by Christina shusho

Eeh bwana umenichunguza na kunijua
Wewe wajua kuketi kwangu na kuondoka kwaangu
Umelifahamua wazo langu, tokea mbali..
Umepepeta kwenda kwangu, na kulala kwaangu
Umeelewaa na njia zaangu zoote eeeh ×2

Maana hamna neno lingine mwamgu, usilojua kabisa bwana
Umenizingira nyuma na mbele, ukaniwekea mkono wako
Maarifa hayo ni ya ajabu, yanishinda mi- mimi
Hayadhirikiki siwezi kuyafikia ×2

Niende wapi nijiepushe na roho yako
Niende wapi niukimbie uso wako ooh
Kama ningepanda mbiguni, wewe uko ooh
Ningefanya kuzimu,giza na uko nako uko ooh
Kama nikisema litagiza litanifunikaa, giza nalo haliko lifichi kitu
Giza na mwanga kwako ni sawa sawaa

Eeh mungu unichunguze, ujue moyo wangu eeh mungu
Unijaribu uyajue mawazo yangu eeh mungu eeh mungu
Uone kama niko njia iletayo, majuto ndani yangu eeh mungu
Ukaniongoze katika njia ya haki milele
Maana wewe ndiwe uliyeniumba, mtima wangu eeh mungu
Macho yako yaliniona kabla sijakamilika eeh mungu
Nimekuita uisikie sauti yangu eeh mungu
Eeh mungu unichunguze ujue moyo wangu eeh mungu
Unijaribu uyajue mawazo yangu eeh mungu eeh mungu

Maneno ya kinywa changu na mawazo ya moyo
Yapate kibali  mbele zako eeh mungu eeh mungu ×3

6 comments: