Friday, January 15, 2016

MWANAKE lyrics by Benachi ft. Kaberere

Sawa sawa, sawa sawa
Mimi mwanake...... iye

  Benachi
Usinione nimechakaa, unitilie dharau
Mimi binadamu... uuu, umesahau
Unaishi kwa dhamani, ninaishi kwa imani
Mbele zako mimi sina haki, mbele zake mimi mwenye haki
Fahamu kuwa mola ndiye aliyeniumba mimi na wewe

  (CHORUS)
Mimi mwanake usiku nitalala
Mbele zake maulama sote tuko sawa ×2

  Kaberere
Ulinipuuza mie eti sifai kuwa nawee
Uliniona mie eti hatia kula naweee
Sahani moja, tulipotiliwa chakula.... aaah
Nyumba moja tulipofaa kuishi pamoja
Wema wake taji la upendo juu yangu
Ndani yake vikubwa na uoga, vyote upeo wa kimya

  (CHORUS)

Ooh uwoo uwoo oooh
Ulinipuuza mie... eeeh ooh uwoo uwo ooh
Sahani moja... eeeh ooh uwoo uwoo ooh
Nyumba moja... eeeh ooh uwoo uwo ooh

  (CHORUS)

Usiku nitalala mbele zake
Mimi mtoto wake, mimi toto lake
Usiku nitalala nitang'orota
Nitajifunika gubigubi nitang'orota
Sitaamka sababu wewe haunipendi
Nitalala sana mimi mwanake
Chako ni changu oooh
Sote tuko sawa.... yei yei yei
Ooooh mmh mmmmh

No comments:

Post a Comment