Monday, December 14, 2015

UMETENDA MEMA Lyrics by Kambua

Nakushukuru wewee, nakutukuza wewe
Umenitendea mambo ya ajaabu
Mimi nisemeje, ili nikushukuru
Nasema ewe mungu, umenitendea

     (CHORUS)
Umetenda mema ×3
Ndio maana naimba
Umetenda mema ×3
Ndio maana naimba

Wimbo wa moyo wangu, na nafsi yangu yote
Yasema ewe mungu, umenitendea
Maisha yangu yote, nakutolea wewe
Kwa maana ewee baba, umenitendea

   (CHORUS)

No comments:

Post a Comment