Sunday, December 6, 2015

STORY YANGU Lyrics by Denno and Bahati

   DENNO
Niskize mtoto wa mama, hivi unavyo niona aaah
Mimi Denno, nimetoka na mbali sana eeh
Mtoto wa mama, hivi unavyoniona aaaii
Mimi Denno, nimetoka na mbali sana eeh
88 kangemi nikazaliwa, aaaii ata mwangaza sikuwai kuja kuona eeh

      (CHORUS)
Story yangu ni story yangu
Ebu rafiki nipe sikio
Mi nataka simulia ×2

  BAHATI
Najua uchungu maswali mengi kwako moyoni
Kwa nini mola iwe hii,kwa nini mola iwe mimi
Najua uchungu na mimi hunioni, niko na rasta lakini mbona imefungika
Kapewa story 99 mama alipoondoka
Skiza nikupe story kumbuka ghetto ni ngori
99 baba akanitoka sana ikawa machozi
Mchanga na sijiwezi maisha, kung'ang'ana nikaona siwezi
Ndoto zangu nikatupa mbali,ila leo niko mahali
Maisha ya kung'ang'ana na siwezi, kumbe mungu aliona mbali
Ivo mziki amenipa mimii...

   (CHORUS)

DENNO
Nasema mungu ni mwema, story zimebadilila

BAHATI
Leo hii tunaimba wanabarikiwa

No comments:

Post a Comment