Saturday, December 5, 2015

MWEMA

Wako mwana ukamtumaaa duniani
    Kisa na maana
Nipate uzima jamani ×2
Ishara kwamba unanipenda
Hivyo nshaelewa sifa nitakupa zaidi×2

          (CHORUS)
Nasiwezi jizuia
Kusema wako wema nasio kama
Najigamba umenitenda mema ×2
Umekuwa mwema kwangu

Umenitoa gizanii...
Nlipokuwa nimeshikwa mateka
Ukanipa tumaniii,kwako nkajificha
Sasa nitakupa niniii...
Iwe sawa na yale umetenda
Hakuna ila moyoniii
Sifa nitakuimbia
Ilikugarimu msalambani unifieee
Hivyo inanibidi, sifa nikuimbie
       Eeeeeh
Wema wako niseme
Ili na wengine wakujue
Wote waungane nami
Na wazee ishirini na nne

      (CHORUS)

          (WACHA NIRINGE)
Umekuwa mwema kwanguu
Oooh Yahweh oooh kwanguu
Oooh umenitendea àaaah
Kwanguu eeeeh

   (CHORUS)

No comments:

Post a Comment