Saturday, November 21, 2015

KWANGU 254

Mambo ya mjuara aya mtindo wa kenya,
Skia utamu wa kenya welcome to 254
Karibu kenya marafiki if your ready si we can go, for a tour to all our cities,
Tupande kaskazini tuko juu, your right magharibi tuko mashariki chini kwa chini hadi kusini tuko on

      (Chorus)
Karibu nyumbani kwangu, cheza ukitabasamu sote tuburudike, chakula kitamu×2
Pamoja na tusherekee×2

Feel the music and feel good,
Move to the beat dance to the riddim
We party like champions kemboi dance
Come lemi show you kembo dance

You know mi niko mitaani flavour za nyumbaniii make you sing,
Kenya we are very good,tour small najitambua
I stand tall kenyan raised kenya bom ndio form

         (Chorus)

Mtoto wa mama kenya ndio nyumbani
Mtoto wa mama tena ndipo maskani
Ndipo kijinini, kucheza chakacha
Pia kanisani kusifu maulana eeeh
Tukisifu maulana kila kitu kiko sawa
Usidhani yuko mwenyewe usikate tamaa
Tuko pamoja tukijiburudisha
Tuko pamoja tukijichangamsha

          (Chorus)

Vile unavyopenda usijali watakavyosema
Jiachilie eeh
Vile unavyopenda usijali watakavyosema
Jifurahisheee

No comments:

Post a Comment