Monday, December 21, 2015

NIMEKUBALI lyrics by Eunice Njeri

       (CHORUS)

Nimekubali nasema ndio,kwako ni salama nasema ndio
Nimekubali nasema ndio bwana, najitoa nabiu iliyo hai bwana nitumie

Bwana anatafta watakaomwabudu kwa roho na kweli
Na wakati ndio huu naamini umefika
Nisaidie kutenda kulingana mapenzi yako
Kutembea na maagizo yako moyoni mwangu ×2

   (CHORUS)

Mimi ni chombo mikononi mwako Yahweh
Tena ni udongo na wewe mfinyazi baba, nifinyange nitengeneze
Uishe nafsi yangu chochote utakacho mimi nitatenda ×2

   (CHORUS)

Oooh niumbie, niumbie moyo safi, ili niweze kukutukuza
Bwana nitengeneze kwa ajili ya jina lako baba
Wala usinitenganishe na uwepo wako
Mimi bwana eeeh nimekubali njia zako baba
Nasema ndio kwako baba

   (CHORUS)

No comments:

Post a Comment