Saturday, December 5, 2015

AFADHALI YESU

Nimepanda, nimeshuka
Milima mabonde na mito nimevuka
Nimeosa, nimesota, nimekosa mpaka mpaka nimekopa
Nimeamini binadamu...
Ole wangu roho wakanivunja
Niliambiwa nikakana,mimi mwenyewe nimekuja on
Tunachodhamini hakitufai
Tufurahiii ooh najiuliza furaha yangu ni nani????

       (CHORUS)

Afadhali yesu aaah
Afadhali ye aliye na yesu ×4

Nimesakasaka mali saana
Nikipatapata bado nataka more
Nimesakasaka pesa saana
Nikipatapata bado nataka more
Makosa yangu na dhambi zangu
Matendo yangu yale ninajuta
Umechukua umeondoa
Ulisema hutayakumbuka

    (CHORUS)

No comments:

Post a Comment