Sunday, December 20, 2015

NANGOJA lyrics by Eunice Njeri

Nangoja, nakungoja bwanaa natulia, najua upo
Nibadilishe uniokoeee.... naomba

Ewe bwana nakuinulia nafsi yangu
Mungu wangu naona kiu nijaze
Ewe bwana nijulishe mimi njia zako
Niongoze kwa roho na kweli naomba
Niumbie moyo safi na tena unibariki
Nangoja miguuni pako mimi nangoja

     (CHORUS)

Ewe bwana kumbuka rehema zako
Mungu wangu kumbuka fadhili zako
Nisamehe kwa jina lako Yahweh naomba
Niwe mwema siri zako nijue baba
Niumbie moyo safi nihusishe tena
Nibariki mimi nangoja

    (CHORUS)

2 comments:

  1. Thanks for the inspirational lyrics to a great song

    ReplyDelete
  2. Thanks for the inspirational lyrics to a great song

    ReplyDelete