Showing posts with label umetenda mema lyrics by Kambua. Show all posts
Showing posts with label umetenda mema lyrics by Kambua. Show all posts

Monday, December 14, 2015

UMETENDA MEMA Lyrics by Kambua

Nakushukuru wewee, nakutukuza wewe
Umenitendea mambo ya ajaabu
Mimi nisemeje, ili nikushukuru
Nasema ewe mungu, umenitendea

     (CHORUS)
Umetenda mema ×3
Ndio maana naimba
Umetenda mema ×3
Ndio maana naimba

Wimbo wa moyo wangu, na nafsi yangu yote
Yasema ewe mungu, umenitendea
Maisha yangu yote, nakutolea wewe
Kwa maana ewee baba, umenitendea

   (CHORUS)