Saturday, August 20, 2016

MKONO WA BWANA lyrics by Mercy Masika

OH,

Wu wu wu wu wu wu

la la la la la la la

umeomba sana ah,

umehangaika sana

umengoja sana ila majibu uoni

nyuma mbele kwa marafiki utoshi.

Usife moyo mungu hayuko busy

ana mpango mwema juu yako X2

Hakika mkono wa bwana si mfupi

wala sikio lake sio nzito  kusikia

mkono wa bwana si mfupi 

wala sikio lake si nzito  kusikia

ahadi zake ni kweli

njia zake sio kama mwanadamu

akili zake ziko juu

hatufikii sisi wanadamu

tulia tulia na baba

Tusife moyo mungu hayuko busy

anampango mwema juu yetu X2

hakika mkono wa bwana si mfupi

wala sikio lake si nzito kusikia

mkono wa bwana si mfupi

wala sikio lake si nzito kusikia

halleluyah ni mwaminifu.

Hakika mkono wa bwana si mfupi

wala sikio lake sio nzito kusikia

mkono wa bwana si mfupi 

wala sikio lake si nzito kusikia

mkono wa bwana si mfupi 

wala sikio lake si nzito kusikia

No comments:

Post a Comment