Wednesday, July 6, 2016

NICHUKUE lyrics by Semeiyan

Nichukue, nitengeneze
Niwe chombo chako Bwana
Nichukue, nifinyange
Niwe chombo cha heshima

Hili ni ombi baba naomba, nimekosa Baba eeh,
Makosa yangu hayahesabiki, sistahili Baba mbele zako,
Na sasa Baba naja
Hili ni ombi baba naomba, nimekosa Baba eeh,
Makosa yangu hayahesabiki, sistahili Baba mbele zako,
Na sasa Baba naja

Nichukue, nitengeneze
Niwe chombo chako Bwana
Nichukue, nifinyange
Niwe chombo cha heshima

Kama vile Daudi aliomba, maombi yake Ukayasikia,
Kama vile Paulo na Silah, waliomba Baba eeh
Nakuomba Baba nisikie
Kama vile Daudi aliomba, maombi yake Ukayasikia,
Kama vile Paulo na Silah, waliomba Baba eeh
Nakuomba Baba nisikie

Nichukue, nitengeneze
Niwe chombo chako Bwana
Nichukue, nifinyange
Niwe chombo cha heshima ×2

Moyo wangu wakutamani, njia zako kuzifuata
Nitakase nikupendeze, Wewe ndiwe uhai wangu
Damu yako Baba yanitosha
Moyo wangu wakutamani, njia zako kuzifuata
Nitakase nikupendeze, Wewe ndiwe uhai wangu
Damu yako Baba yanitosha

Nichukue, nitengeneze
Niwe chombo chako Bwana
Nichukue, nifinyange
Niwe chombo cha heshima

Nichukue, nitengeneze
Niwe chombo chako Bwana
Nichukue, nifinyange
Niwe chombo cha heshima

BWANA WA MABWANA lyrics by Princess Farida

Nilidhani Nilifika Nilidhani Nitapaa Juu
Nakukuona Jinsi Nilivyokuwa
Nilidhani wewe Hukujali Nilidhani Hukupendezwa Na Maisha Yangu
Kabla Uje Ukanifungua Macho Minikaona Naishi Kakitambo
Naomba

  (CHORUS)
Ewe Bwana Wa Mabwana
Niko Mguuni Pako Unisikie
Ewe Bwana Wa Mabwana
Nionyeshe Njia Zako Nisianguke  (Nisiabike )

Nikiteleza Naomba Usiniache
Ukiniacha Kweli Nimeachwa Milele
Kinyagani Mwako Baba Unitunze
Ukinitunza Kweli Nimetunzwa Milele

Ulinitoa Mashakani Ukanipeleka Maishani
Nitakusifu Wewe Milele Na Milele x2

  (CHORUS)

Kweli unafaa Maishani Mwangu Wewe Unafaa
Kila Kitu Maishani Mwangu Ninajua Ni Baraka Toka Kwako x2

Ewe Bwana Wa Mabwana
Niko Mguuni Pako Unisikie
Ewe Bwana Wa Mabwana
Nionyeshe Njia Zako Nisianguke  (Nisiabike )

Ewe Bwana Wa Mabwana
Ewe Bwana Wa Mabwana, Nionyeshe Njia Zako Nisianguke

Nisiaibike

BOOM AYE lyrics by Majic Mike ft Kambua

  (CHORUS)
Since the first day I met you God eeh
Tangu siku ya kwanza,(eh eh)
Since the first day I met you Jesus(yes yes yes)
Tangu siku ya kwanza
Umefanya roho yangu iende  (Boom, boom, aye)
Umenipenda, penda sana weh (Boom, boom, aye)
Roho yangu inadunda dunda dunda (Boom, boom, aye)
Unafanya roho yangu iende (Boom, boom, aye)

Umeniweza,
Kila siku furahisha roho yangu
Unanitesa,
Umenishika na upendo wako
Umeniweza,
Everyday I fall in love with you more
Unanitesa,
With everything that you’ve done for me

(I will never let you go, mafeelings zangu I will let you know,
Wacha nifungue roho, coz you mean the world to me) x2

(CHORUS)

  KAMBUA
Siwezi, tenganishwa na wewe
Sitaki, kutoka hapa ulipo
Upendo wako wananipa nguvu za kusimama
Hapa nilipo ni kwa sababu yako
Umeniwezesha, kanipa ujasiri
Uwezo na neema; hakika nitafika!
Uliko nitoa ni mbali sana ah ah
Na ndio maana nakuimbia eh..

  (CHORUS) x2

Saturday, July 2, 2016

I LIVE FOR YOU lyrics by Adawnage

Yoouuu.....  yoouuu....  you Lord ×4

There are times in my life, huwa nimejazwa na uwonga mwingi
I don't know where to start, sina fahamu wapi nianziee
Then I am thinking to myself, ni nani atakaye nituliza
Wewe ni mwanzo tena we mwisho
Wewe ndiye ngao yangu ya maisha

  (CHORUS)
I live for yoouu.... yoouu....  you Lord ×4

There are days in my life
(Huwa ninajipata nimeteleza)
And guilty inside me
(Inanifanya nianguke)
Then I look into your word
(Unavyonipenda mimi)
We ni Ngai, wee munene
(Nishikilie leo na milele)

  (CHORUS)
Nothing so wacha nikushow bro
Everywhere he goes watu wana****
God created you to his pacification
His Grace is sufficient for this generation
Ombi langu baba nikuwa katika kila ibada
Nikuabudu, nikushukuru baba
Nikupe sifa, nikuombe wadhifa
Nikupe sifa, nikuombe maarifa

  (CHORUS)

AM A WINNER lyrics by Simon Njihia

I was born to win, I was not born to loose
I was born to be a winner, I was not born to be a loser
An not a looser, am a winner

  (CHORUS)
I am a winner, am not a looser ×4
Am not a loser

I am feeling deep in my heart, it's your season you gonna shine
I am feeling deep in my heart, it's my season am gonna shine
God is fulfilling your destiny, God is changing your history, history
From a story to history
Somebody to somebody
From nothing to something good
From zero to a hero
From a looser to a winner
Are you among those who gonna shine?
(Yes I am)

  (CHORUS)

Very soon and very soon, we are crossing the finish line ×2
There will be no more calamity, there will be no more inferity
One level to the next level, going to the next victory
There will be no more poverty, we are winning the promise land
There will be no more suffering, we are winning the promise land

  (CHORUS)

I am a winner am not a looser

Friday, July 1, 2016

BAMBA MBAYA lyrics by Kelele Takatifu

Nimeokoka na inanibamba mbaya,
Yesu ananibamba mbaya
eii ananibamba mbaya
bamba bamba mbaya
bamba bamba ah
(ananibamba mbaya X2)

bamba bamba ah,
(ananibamba mbaya) X2

shetani (nyenye x2) bubu
ninakukanyanga kama mdudu
Yesu akisema me nadodo
kazi tu kujibamba nakuabudu
msalabani akabuy me
ye ndio msoo wengine jo ni tiny
mambo yake laini ka maini
aii, ye ameningarisha niko shiny
Horera
oh God kwake niko easy
easy no rush, Yesu ananipenda, Yess me know that,
cant wait for sunday so,
me go church oh God,

CHORUS.

Yes aiyaa, me napenda messiah,
tangu niokoke shetani anitoke wokovu inanibamba mbaya,
ananibamba amenipa roho, nyeupe kama pamba,
unaweza niita ndege, me napanda,
dhambi tumeua na umealikwa matanga,
haijalishi we nani
umetoka Buru ama Wendani,
mizigo mizito umebeba,
na jua bila Yesu we
huwezani karibu uwe ndani.

CHORUS.

yees man (ananibamba mbaya) X3
yes man (ananibamba mbaya) X3
ananibambambambambeng
anani, ribaribaribangbeng.
ananibambambambambeng

CHORUS

Ona na na what can i say X2
unanibamba day by day X2

ZAVUMA lyrics by Pitson

Zavuma ah zavuma
sifa na utukufu ni zako weeh mungu wangu
sifa na utukufu ni zako weeh mungu wangu  X3

sifa, utukufu ni zako mungu wangu.
sifa na utukufu ni zako weeh mungu wangu.

sifa zako zavuma
baba zivume zavuma X6

REPEAT

muziki ya kagitaa,eh
maisha yangu yabadilishie (nibadilishie)
naomba baba unibadilishie (nibadilishie)
unibadilishie eh,

baba sifa ah, zako zavumavuma X2
ah ahah ah, zavumavuma,
baba zavumavuma X4