Showing posts with label ONGOZA HATUA ZANGU lyrics by Christina shusho. Show all posts
Showing posts with label ONGOZA HATUA ZANGU lyrics by Christina shusho. Show all posts

Monday, January 25, 2016

ONGOZA HATUA ZANGU lyrics by Christina shusho

Hatua za mwenye haki, za ongozwa naye bwana
Na bwana hufurahia njia zake wakati wote ×2

Nakukabidhi bwana, njia zangu zote pia nakutumaini najua bwana utafanya
Ata nijapo jikwaa, sitaanguka chini Bwana utanishika mkono na kunitengeneza ×2

Umwangazie mtumishi wako, uso wako
Maana ninayatamani, maagizo yako
Elekeza hatua zangu, kwa neno lako
Uovu usije ukanimiliki ×2

Eeh bwana naomba
Ongoza hatua zangu eeh bwana
Eeh bwana ongoza mwendo wangu
Eeh bwana eeh bwana ×9