Alijipata amevaa suti na tai Kali, ameamka anaenda kutafuta mashilingi
Na kumbe mbele majaribu na mipango mikali mikali
Alirejea kama hana kitu mfukoni, akaangaliwa na uzuni na watoto waake
Akawaimbia oringo ooh ooh, na kuwaimiza mungu yupo
(CHORUS)
Wamechimba shimo niingie, wataingia wenyewe
Wameweka mitego nipitie, watapitia wenyewe
Tegua tegua mitengo walioniwekea
Pangua pangua mipango walionipangia
Baba najua una nguvu ya kupangua, mitego ile imewekwa ili niabike
Baba najua una nguvu mingi, anaweka imani kwako
Natazama mbigu nakuona Paulo na Sila
Natazama mbigu nakuona utumishi sitakando
Natazama mbigu nakuona baba Yusufu
Natazama mbigu naoona...
(CHORUS)
No comments:
Post a Comment