Sunday, July 17, 2016

PSALM 23 lyrics by Eko Dydda

VERSE 1 LYRICS:
As i walk through the valley of the shadow of death
i fear no evil
ata kama nilihata shule Pre-Unit
pesa zinanifwata hapa kule P-Unit
Yesu ndio amani, His' the peace you need
hizo zingine ni kipara, si the peace you need
Alidunga pupil in my eyes
Akadunga kuku hii mayai
Alpha na Omega We ndio real Winner
sing'ang'ani na We, let Your will be done

CHORUS LYRICS:
On earth as it is in heaven
naskiza nani ka siskizi Wewe
thank You Jesus
nikikosa post, You are my refugee camp

VERSE 2 LYRICS:
Mimi na Jesus sitadunga frakaz
nitatembea juu ya water
baba shark atanidunga gota
namaanisha mimi nikisema ota
sitaomba mtu ruhusa men
ndio nisifu mwenye Alipitia Jerusalem
Atatushow You can use my name
sema Jesus, mapepo sitalose again
collabo ya shida na scare crow
haziwezi kuniscare bro
kaulidhani that I still gwaya
vuta hiyo tot na steal wire

CHORUS LYRICS:
As i walk through the valley of the shadow of death
i fear no evil, I fear no people
ladies and gentlemen...

VERSE 3 LYRICS:
Najaribu chini ya maji kama papa shark
hazitaniuma, aa zitanipapasa
zikipiga magoti zinaniita Papa San
ju mi ni mtoto wa daddy, mi ni Papa son
sina napi, Amenidunga pampers ya protection
tangu enzi za garbbage collection
poverty ikinichapa ni kama restle
Eko nitasifu God si siri
tangu enzi za chuo boyz si siri
ju nilisota Akaniturn 360
Mpesa ikaanza kuflow, eazily
siku hizi story za mala..., si sisi
nikiimba tell my son, keep it real
soma John 3,16
I believe God nitamwona one day
everything will be alright, okay
I believe God nitamwona one day
everything will be alright, okay

CHORUS LYRICS:
As i walk through the valley of the shadow of death
i fear no evil, I fear no people
ladies and gentlemen...

NIKO NA REASON lyrics by Eko Dydda ft Holy Dave

Eko Didah Holy Dave
leo ni holiday
amka u-show hawa wasee kuna reason

Chorus
niko na niko na
niko niko na niko na
niko niko na reason ya ku
clap
niko na niko na
niko niko na niko na
niko niko na reason ya ku
snap
niko na niko na
niko niko na niko na
niko niko na reason ya ku-put hands up
just... clap
just... snap
hands up
niko blessed nimebarikiwa

Verse 1
nakumbuka kitambo
ndio tukunywe soda
labda party Christmas
tukule mchele dodo labda Hare Krishna
lakini saa hii naeza kula chenye na-wish man
nikitaka naweza kula mchele na kichwa
ya fish hakuna kitu ngumu kwa Je...
sus anaweza kutuona He can see... 
us kama aliokoa wanaume 10...
k anaweza okoa wanaume TM...
K na TO...
K, waseme
its OK 
its OK
devil nitoke
nitoke
anaweza okoa hata Mwana F...
A awe mtoto wetu
umwana we...
fwe in Christ
ambia devo
bado nipo nipo kwanza
sioi before 
nibadilishe people Mwanza

Chorus
niko na niko na
niko niko na niko na
niko niko na reason ya ku
clap
niko na niko na
niko niko na niko na
niko niko na reason ya ku
snap
niko na niko na
niko niko na niko na
niko niko na reason ya ku-put hands up
just... clap
just... snap
hands up
niko blessed nimebarikiwa

Verse 2
skiza flow mbichi ya ma-punchline na ma-pose
so soothing naeza fanya mtoto adoze
ni HD, 
na Eko Di...
Dah tuna sta... 
gger tuki-sta...
mmer, niko na reason ya ku-smile ka Wako
I woke up na meno bado ziko
niko na reason ya ku-bounce na swagger
zikikam zimekam I guess hauwezi ficha
I chose hiphop, they said I was crazy
now they singing my songs like karaoke
nilijua kuna God wa ajabu
the underdogs wana-shine ka Ababu
na Mwamba
ameshuka
nimebarikiwa nimeonekaniwa
Afrika stand up rise and shine
this is, this is, this is
two thousand and mine

Chorus
niko na niko na
niko niko na niko na
niko niko na reason ya ku
clap
niko na niko na
niko niko na niko na
niko niko na reason ya ku
snap
niko na niko na
niko niko na niko na
niko niko na reason ya ku-put hands up
just... clap
just... snap
hands up
niko blessed nimebarikiwa

GHETTO lyrics by Eko Dydda

Verse 1
wanasema aliye juu mngoje chi... ni
bei zilipanda nazingoja chi... ni
kitu nashindwa hazishuki kwa ni... ni
ama ntazingoja, hadi li... ni
kuwa patient, uh-uh si kwa hospitalini na
sijui unapeleka hosi kwa nini
poverty ime-paint mtaa kama art and craft
kukosa food imekuwa ni game kama draughts
ndio Q-Tasi aka go ocha
juu hali ilizidi tu kuzo... rota
na MP wangu bunge anango... rota
I wish dreams zake zikam true
kwa darasa tumejazana tuko MP3
na shule zingine najua kuna empty seats
na tuko Kenya moja ama tuko same nchi
lunch tunakula maharagwe tu the same inji
agent anakatanga maji na has... tuki
tukimwita meeting uh-uh s... kuji
in fact, atafanya worse to this
stima na maji zinacheza hata... tokea
pata... potea
zinacheza kama... re
hadi spider zilishajenga web kwa bulb yetu
juu hakunanga na... re
badala ya vijana tugu... tuke
imekuwa ni vijana tuzu... nguke
tukitafuta kazi na tusu... mbuke
ukidedi rest in peace tusiku... mbuke
ghetto, ghetto

Chorus
kwa maboy wenye (wanatoka ghetto)
kwa masister wenye (wanatoka ghetto)
kwa maparo wenye (wanatoka ghetto)
ghetto, ghetto

kwa maboy wenye (wanatoka ghetto)
kwa masister wenye (wanatoka ghetto)
kwa maparo wenye (wanatoka ghetto)
ghetto, ghetto

Verse 2
ai... dear nina i... dea
yenye inaweza kutusai... dia
ukiwa down, relax na ujiambie hivi tu
hivi tu
nikicheki Christ inside of my life
nijue what I decide for my life
nikuwe na Christ inside of my life
life itakuwa fresh ni kama mala (opposite)
don't judge a book by the co... ver
huyu ni mtu anaweza kureco... ver
uchumi iko broken
hata ka naishi nyumba ya matope
nang'ana na life, usi... choke
kimbizana na life, wee ni Kip... choge
sema, Yesu a-a-ako by my side
nitashinda hiyo race kama Barmasai
nina Jesus, ninaweza ghetto
nikianguka, nitapaka dettol
hii maisha, nafunga kama Eto'o
Eto'o, Eto'o

Chorus
kwa maboy wenye (wanatoka ghetto)
kwa masister wenye (wanatoka ghetto)
kwa maparo wenye (wanatoka ghetto)
ghetto, ghetto

kwa maboy wenye (wanatoka ghetto)
kwa masister wenye (wanatoka ghetto)
kwa maparo wenye (wanatoka ghetto)
ghetto, ghetto

Outro
ladies and ghettomen
Christ alikuwa mtaani MP3 years ago
anatambua hood
maorosho zote kuniliko au sio
nilimpatia life yangu ndio anishughulikie

Korogosho (wanatoka ghetto)
Kibera (wanatoka ghetto)
Mathare (wanatoka ghetto)
ghetto, ghetto

Kariobangi (wanatoka ghetto)
Kayole (wanatoka ghetto)
Eastlando (wanatoka ghetto)
ghetto, ghetto

Ongwaro (wanatoka ghetto)
Runda (wanatoka ghetto)
Westie (wanatoka ghetto)
ghetto, ghetto

SLUMs inamaanisha Silver Lives Under Me
GHETTO inamaanisha Getting Higher Education To Teach Others
hata kwa bible ninge-confirm na sijakosea mbuyu
the wise men walitokea East side
Eastlando
Kenya iko wapi kwa map? East side
Eastlando
in short Kenya yote ni ghetto
ni slum!

nikicheki Christ inside of my life
nijue what I decide for my life
nikuwe na Christ inside of my life
life itakuwa fresh ni kama mala (opposite)
nikicheki Christ inside of my life
nijue what I decide for my life
nikuwe na Christ inside of my life
life itakuwa fresh ni kama mala (opposite)

FOCUS ON JESUS lyrics by Eko Dydda

Chorus
one
I give you praise cause you're real
two
ume-take my life from nothing and three
lift my eyes to the sky
focus on Jesus ti-ti-ti-ti till I die

one
I give you praise cause you're real
two
ume-take my life from nothing and three
lift my eyes to the sky
focus on Jesus ti-ti-ti-ti till I die

Verse 1
si uwongo...
since I knew... Jesus
naishi kwa miu... jiza
si-run haraka...
nimetu... liza
temptation zikikam nina new... scissors
mi ni boy nilikuwa napara... ra
nisote, kukula ni kara... ra
means ya kutoka home hadi Nga... ra
ni kutreki yaani kutoka ta... ra
I was travelling, in a walk... swagen
simaanishi, in a Volk... swagen
na-na nasema leg... sus
yaani nani you move your legs... as...
you walk, kama 50 Cent...
I was a window shopper
Christ akakam in, money aka-pump in
na sasa niko sober

Chorus
one
I give you praise cause you're real
two
ume-take my life from nothing and three
lift my eyes to the sky
focus on Jesus ti-ti-ti-ti till I die

one
I give you praise cause you're real
two
ume-take my life from nothing and three
lift my eyes to the sky
focus on Jesus ti-ti-ti-ti till I die

Verse 2
na-focus on Jesus ti-ti-ti-ti till I die
na-focus on Jesus ki-ki-ki-ki kila time
ulinijua before niwe... embryo
nikiwa sina kitu niko... empty yo
ukani-show we... we ndio the way, the truth, the light
by the way, the truth in life
hai-exist bila we... we tu, si lies
na-focus on Jesus, uliza Pastor Alai
siangalii nyuma, tuliza that's a lie
juu... anashuku niko njia zangu aka... my needs
nikihepa pesa aka... money
pesa inanikimbiza, haha... funny!
yaani, I don't work to earn a living... coz
I work for one and living... God

Chorus
one
I give you praise cause you're real
two
ume-take my life from nothing and three
lift my eyes to the sky
focus on Jesus ti-ti-ti-ti till I die

one
I give you praise cause you're real
two
ume-take my life from nothing and three
lift my eyes to the sky
focus on Jesus ti-ti-ti-ti till I die

Verse 3
as I walk through the valley of the shadow of death
si... o... go... pi
Eko Dy... dda nina Je... sus
King... of... all... Kings
naweza ona kila kitu
I-I I can see... all... those... things
zenye zinataka kuniangusha coz
He's my life, He's my life
furthermore ako hai, He's alive
devil you are still a-a-a afraid of me
juu, Jesus ni a-a-a a friend of me
uta-steal nothing a-a-a away from me
juu bado najiombea I-I-I I pray for me
niwe strong kuliko Sssamson
wise kuliko Sssolomon
na-walk na Jesus ye ni sssolo boy

Chorus
one
I give you praise cause you're real
two
ume-take my life from nothing and three
lift my eyes to the sky
focus on Jesus ti-ti-ti-ti till I die

one
I give you praise cause you're real
two
ume-take my life from nothing and three
lift my eyes to the sky
focus on Jesus ti-ti-ti-ti till I die

BABA YUKO lyrics by Eko Dydda, H3 and Jefro

CHORUS LYRICS:
Baridi ikikuchapa nje ka nyaunyo, hauna cha kujifunika ka Ndauo
usijali mi najua Baba yuko, Baba yuko, Baba yuko
Baridi ikikuchapa nje ka nyaunyo, hauna cha kujifunika ka Ndauo
usijali mi najua Baba yuko, Baba yuko, Baba yuko

VERSE 1 LYRICS:
Nakumbuka matha akienda kesha
hana pa kuenda ju hanaga keja
Nakumbuka matha akienda kesha
hana pa kuenda ju hanaga keja
alikua akilala sokoni
but Father We ni Mgreat, You're so Holy
Uliona kila kitu, You saw all this
nikiwa niko down You are strong for me
life yangu ikidry ka Middle East
Unaniita come ndani, come in we eat
ata maisha iwe suffering
sitazama kama submarine
nitawakilisha Yesu stammaring
ju kukienda mbaya Ulikuwa Unanishow...I can be your Hero baby
sitakosa food, nikikosa Ye hunifanyiaga nini?....ananifayia zero grazing

CHORUS LYRICS:
Baridi ikikuchapa nje ka nyaunyo, hauna cha kujifunika ka Ndauo
usijali mi najua Baba yuko, Baba yuko, Baba yuko
Baridi ikikuchapa nje ka nyaunyo, hauna cha kujifunika ka Ndauo
usijali mi najua Baba yuko, Baba yuko, Baba yuko

VERSE 2 LYRICS:
God when I look back nasema asanti
let me do some wiki leaks like Asanj
check check map ya dying HIV
talk talk of the slum ni sisi
everyone shunned us away coz of stigma
so much pain via shock ya stima
I started with selling stuff, big hustler
from the Jeep stollen stuff drug pedler
bad boy bang na ma puff puff
daddy na BIG namada mabuff
nakadhalika nikago kwa wadhii niwe safe
nikawacha kuwa hard core kiloro bagbo
nika bow down Christ Awe backbone
I stoped putting my trust on paper
I started trusting on the tree's creator

CHORUS LYRICS:
Baridi ikikuchapa nje ka nyaunyo, hauna cha kujifunika ka Ndauo
usijali mi najua Baba yuko, Baba yuko, Baba yuko
Baridi ikikuchapa nje ka nyaunyo, hauna cha kujifunika ka Ndauo
usijali mi najua Baba yuko, Baba yuko, Baba yuko

VERSE 3 LYRICS:
The second born of my mama Connie Okutha
a single mather but our father alitulisha
growing up na shida nikarebel the system leader
no father figure tulibreak bread bila akida
a brother a sister therefore born in the middle
influenced na wrong roll models kwa social media
nimelelewa na hiphop, ni mimi na Naughty by Nature
I never listened to softy tissue I had issues
looking for my father's alternation
harsh when I got to leave the station
before my ID I had a diplomatic CD
Kenyan Embassy nchi ya Wahindi
I got twice in my bad boy rate uliza Idi
til I got saved, six years trade a black man remedy

CHORUS LYRICS:
Baridi ikikuchapa nje ka nyaunyo, hauna cha kujifunika ka Ndauo
usijali mi najua Baba yuko, Baba yuko, Baba yuko
Baridi ikikuchapa nje ka nyaunyo, hauna cha kujifunika ka Ndauo
usijali mi najua Baba yuko, Baba yuko, Baba yuko

LOVE GONE BANANAS lyrics by Eko Dydda

  (CHORUS)
Sifa Zote Kwako Mungu Muumba, I'm Amazed Vile Uliniumba,
My Love For You Has Gone Uganda, My Love For You Has Gone Bananas x3

Verse 1:
Doe Sio Kila Kitu Kwangu, Hela Ni, Haiwezi Tu Protect From The Sun Melanie,
Ngozi Imeshika Rangi Cheki Melany, So Sweet,
Nina Ngozi Soft Sihitaji Soft Wear, Mzee Kobe Ni Hard Iko Soft Where?
Sauti Tulipewa Nyororo, Inaweza Funga Dogi,
Wakikuuliza Who's Dat?, Ni Boy Mrich Amefuga Goose Bumps,
If You Have Anything Fishy Just Come,
Mi Nina Ugali Sifichi Welcome, 
Meno Ziko Strong Si Hupiga Mega Bytes, Zikwame Kwa Shingo Juu Hatujameza But,
Hapo Zinachora Adams Apple,
Siwezi Fade, Fed Ex, I'm Never Sick Head Ex,
Ati I Have A Running Nose, Usain Bolt, Coz I Have A Loving God, Who Said So, 

CHORUS:

Verse 2:
O.k Hello Vipi?, Kristo Alinifundishanga L.O.V.E,
Ndani Yake Nina H.O.P.E, Mashida Zikiniona Ziko "Hello Victory",
Nilikuanga Mshindi Tangu Utotoni, Juu Mother Alinifanyianga Winning,
Na Bado Tu na Shinda Juu Nina Yesu, Vita Ni Ya Roho, Si Ya Mwili,
Kila Kitu Unanishow Nina Interest, Kama Doe Bank,
Hata Wachoraji Wani Draw Back, Sirudi Nyuma Niite Drogba,
Niko Full Of Goals Zakufuata Mwenye Ako Above, Rule Of Laws,
Thats My Jesus, Cant Live Without You, Labda Mi Niko Eve Kaa Adam,
Bado Mi Nita Achieve Na Baba, Kama Watu Wana Minuites Kwa Meeting,
Akibonga Ekko Mi Nina Second Alot,
Juu Everytime I Praise God I Mean It, Kama Second Ya Watch,
To Got Be The Glory, Sichukuwi Credit Hata Kama Ni Mbao,

CHORUS:

Bridge:
Feeling Is So Sweet,
Loving You, Loving You, This Is All I Want, And What I'm Feeling Is So Sweet x2
Loving You, Loving You, La La Love Is All I Want...

ME AND MY HOUSE lyrics by Eko Dydda

Intro
God, nataka ku-give up
In fact nime-give up
Juu najua kuna mtu juu
Atachukua
That is you

Chorus
As for me and my house
I- I- I- I will serve the Lord

As for me and my house
I- I- I- I will serve the Lord

I wanna live on the Lord's side
I- I- I- I live on the Lord's side

I wanna live on the Lord's side
I- I- I- I live on the Lord's side

Verse 1
Na-feel niko far na Jesus ka pekee ya wahi...
Na, kuwahi
Juu temptation zimeni-beat, zimeniwahi...
Kuwahi
Maskio hadi niko deaf
Ndio maana nimejam...
Kuliko Du-pri
Ukiniambia anything siezi skiza
Juu sina masikio niko chu-pri
Kama prodigal son, mi naru-di
Sina otherwise...
Sina bu-di
Lust of flesh, nazipiga bu-ti
Kwako king, napiga salu-ti
Nataka ku-come...
Back, nivute na ka...
Mba, juu umeniba...
Mba, kuliko 50
Ba-mba

Chorus
As for me and my house
I- I- I- I will serve the Lord

As for me and my house
I- I- I- I will serve the Lord

I wanna live on the Lord's side
I- I- I- I live on the Lord's side

I wanna live on the Lord's side
I- I- I- I live on the Lord's side

Verse 2
Najua mi si mbuzi, mi ni ko-ndoo
Ya baba, lakini na co-ndo ya baba
Kukula ten percent
Na ten percent, age imebaki
Ni yangu ssstill
Kwani siezi ishi bila kusssteal, na bado...
Yani ssstill unafanya niwe strong kama sssteel
I love you Jehovah Nissi
Jehovah mi si...
Oni love kama yako
I- I- I- I- I got the love
Inafanya niimbe I- I- I- I- I got the love
Umeiweza roho yangu
Yesu umeiweza
Kama Eunice...
Njeri, I wish I knew this...
Daily, ningekuimbia ka kina Mary Mary
In the morning
Hadi jioni
Hadi sioni

Chorus
As for me and my house
I- I- I- I will serve the Lord

As for me and my house
I- I- I- I will serve the Lord

Verse 3
Nime ni-ni nime-nime-hate...
Juo, juu nimekunywa H...
20..
Of life, ndio maana nachukia sia-sa
Hata ukini-call...
The an-swer ni...
Samahani, mteja wa nambari uliopiga hapatikani kwa siasa
Ndio maana nime ni-nime nime-pose...
Na kuamua...
Badala ya kukuwa hero...
Tu, afadhali niwe zero...
Tu, anifanye niwe zero...
Two, oxygen, so important in life

Chorus
As for me and my house
I- I- I- I will serve the Lord

As for me and my house
I- I- I- I will serve the Lord

I wanna live on the Lord's side
I- I- I- I live on the Lord's side

I wanna live on the Lord's side
I- I- I- I live on the Lord's side